Kikosi cha Yanga kimewasili salama mkoani Kagera tayari kwa mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Kagera Sugar siku ya Jumamosi.
Mchezo huo wa mzunguuko wa sita utapigwa katika dimba la Kaitaba.


Mchezo huo wa mzunguuko wa sita utapigwa katika dimba la Kaitaba.


ADVERTISE HERE