Kikosi cha Yanga leo kimeendelea na mazoezi kujiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya JKT Tanzania
Yanga imejifua uwanja wa Chuo cha Polisi Kurasini chini ya Kaimu Kocha Mkuu Charles Mkwasa

ADVERTISE HERE