Viongozi wa Sekretarieti ya Yanga leo wamefanya kikao cha pamoja na wachezaji kwa lengo la kujitambulisha rasmi.
Kikao hicho kilifanyika Makao Makuu ya klabu Jangwani Dar es Salaam, kiliongozwa na Katibu Mkuu Dkt. David Ruhago
Wengine walioshiriki kikao hicho ni Mkurugenzi wa Mashindano Thabit Kandoro, Afisa Habari, Hassan Bumbuli, Mkurugenzi wa Masoko na Biashara, Robert Kabeya na Mkurugenzi wa Sheria na Wanachama, Simon Patrick
ADVERTISE HERE