Yanga yaunda Kamati ya Matawi na Wanachama

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Nov 2019
Yanga yaunda Kamati ya Matawi na Wanachama

Kamati ya Utendaji ya klabu ya Yanga chini ya Mwenyekiti Dk Mshindo Msolla, imeunda Kamati mpya ya Matawi na Wanachama

Aidha Kamati ya Utendaji imemteua Saad Khimji ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji kuwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mpya

Wajumbe walioteuliwa;

1. Hamis Msumi

2. Hamis Kinye

3. Hassan Yahya Hussein

4. Abdallah Chikawe

5. Edward Mhagama

6. James Nhende

7. Mwantumu Mgonja

8. Devotha Mkemwa

9. Samwel Koroso

10. Denis Mugisha

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
11h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
19h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’