Nitarejea kwa kishindo mchezo ujao - Molinga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Nov 2019
Nitarejea kwa kishindo mchezo ujao - Molinga

Pamoja na kusuasua kwenye kuzifumania nyavu katika michezo ya hivi karibuni, mshambuliaji wa Yanga David Molinga amewatoa hofu mashabiki wa timu hiyo akiwahakikishia kuwa atauwasha moto mechi ijao

Jana katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Coastal Union, Molinga alikosa mkwaju wa penati jambo lililowakera mashabiki wakati huo timu yao ikiwa nyuma kwa bao 1-0

"Ndio uhalisia wa mpira, kuna kufanya vizuri muda mwingine vibaya, leo sikuweza kufunga lakini nimepambana kuchangia ushindi," alisema Molinga baada ya mchezo jana

"Nina amini mchezo ujao nitarejea kwa kishindo na kuweza kufunga ama kuisadia kushinda timu yangu, imekuwa siku mbaya kwangu kwa kutokufunga"

Inaelezwa Kaimu kocha Mkuu wa Yanga Charles Mkwasa amewapa mtihani washambuliaji Juma Balinya, David Molinga na Sadney Urikhob kuonyesha ubora wao ili waendelee kubaki kikosini

Yanga inatarajiwa kuongeza mshambuliaji dirisha dogo

Pengine kati yao mmoja anaweza kupewa mkono wa kwaheri

Molinga ameifungia Yanga mabao mawili kwenye ligi yote akiyafunga mechi dhidi ya Polisi Tanzania

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
2h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
2h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
12h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
20h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’