Ligi kuu ya Vodacom inarejea leo Ijumaa ikiingia kwenye mzunguuko wa sita baada ya mapumziko ya Kimataifa.
Siku ya Ijumaa (leo) mchezo mmoja utapigwa kwenye dimba la CCM Kirumba kati ya wenyeji Mbao FC dhidi ya Mbeya City.
Ratiba Kamili

ADVERTISE HERE