Kikosi cha Yanga leo kimefanya mazoezi yake ya mwisho kuelekea mchezo wa Kirafiki dhidi ya Coastal Union Fc kutoka Tanga
Mchezo huo utachezwa kesho Jumapili, Novemba 17 uwanja wa Taifa majira ya saa 10 jioni

ADVERTISE HERE