Majeruhi yaendelea kumuweka nje Lamine

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Nov 2019
Majeruhi yaendelea kumuweka nje Lamine

Wakati nyota waliokuwa majeruhi wakirejea kikosini, beki Lamine Moro bado anaendelea na matibabu

Lamine aliumia katika mchezo wa pili wa kombe la Shirikisho dhidi ya Pyramids Fc, mchezo ambao Yanga ilipoteza kwa kufungwa mabao 3-0

Kaimu kocha Mkuu wa Yanga Charles Mkwasa amesema bado hajafahamu ni wakati gani beki huyo kisiki atarejea kikosini

"Wachezaji waliokuwa majeruhi wamerejea kikosini isipokuwa wachezaji wawili, Lamine Moro na Maybin Kalengo," alisema Mkwasa jana baada ya mazoezi

"Sina hakika ni wakati gani watarejea lakini jambo la msingi ni kwamba wachezaji waliopo wataweza kutusaidia"

Kalengo inafahamika atarejea kikosi mwakani baada ya kupata majeraha makubwa kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Pamba Fc jijini Mwanza

Katika mazoezi ya jana, idadi kubwa ya wachezaji waliokuwa majeruhi walishiriki

Wachezaji hao ni pamoja na Sadney Urikhob, Juma Balinya, Mohammed Issa 'Banka',Ally Ally na Paulo Godfrey 'Boxer'

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
13h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’