Niyonzima akiri kuhifadhi jezi za Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Oct 2017
Niyonzima akiri kuhifadhi jezi za Yanga
Kiungo wa Simba Haruna Niyonzima ameonyesha ukomavu pale alipobainisha kuwa mpaka leo bado amehifadhi jezi za timu yake ya zamani, Yanga.

Niyonzima ameitumikia Yanga kwa misimu sita na kufanikiwa kutwaa ubingwa wa VPL kwa misimu minne.

Katika mahijiano na kipindi maarufu cha michezo cha SPOTI HAUSI, Niyonzima amesema Yanga ni sehemu ya kumbukumbu yake ya maisha ya soka, ndiyo maana anahifadhi jezi hizo.

"Yanga ni sehemu ya maisha yangu ya soka, kuna ubaya gani kwangu kuwa na jezi za Yanga kama kumbukumbu.

"Unajua Yanga ni klabu niliyocheza muda mrefu zaidi kuliko nyingine hadi sasa. Najua sasa niko Simba, ndiyo sehemu ya kazi yangu na ninaiheshimu na kuipenda sana.

"Lakini kubaki na kumbukumbu ya Yanga haina ubaya. Hata kama nitaondoka Simba, pia nitahifadhi jezi za Simba kama kumbukumbu," anasema Niyonzima.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
9h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
12h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
15h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’