Maandalizi kuelekea mechi ya kirafiki dhidi ya Coastal Union

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Nov 2019
Maandalizi kuelekea mechi ya kirafiki dhidi ya Coastal Union

Kikosi cha Yanga leo asubuhi kimefanya mazoezi yake kwenye uwanja wa Uhuru yakiwa ni maandalizi kuelekea michezo ya ligi kuu

Mchezo unaofuata ni dhidi ya JKT Tanzania, wiki ijayo, Jumamosi ya Novemba 23 katika uwanja wa Uhuru

Lakini karibuni, Yanga itacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Coastal Union

Akizungumza baada ya mazoezi hayo, Mratibu wa Yanga Dismas Ten amesema wamekamilisha vyema program yao ya leo

Amesema timu itarejea katika uwanja huo kesho kwa ajili ya mazoezi ya mwisho kabla ya mchezo dhidi ya Coastal Union utakaopigwa keshokutwa Jumapili

Baadhi ya wachezaji waliokuwa majeruhi, wamerejea kikosini na kushiriki mazoezi ya leo

Beki Ally Ally, washambuliaji Juma Balinya na Sadney Urikhob ni miongoni mwa wachezaji walioshiriki mazoezi hayo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
3h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
8h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’