Samatta, Msuva waongeza nguvu Stars

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Nov 2019
Samatta, Msuva waongeza nguvu Stars

Nahodha wa Timu ya Taifa 'Taifa Stars' Mbwana Samatta na mshambuliaji wa Difaa El Jadida Saimon Msuva jana waliingia kambini kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa kufuzu AFCON 2021 dhidi ya Equatorial Guinea ambao utapigwa keshokutwa Ijumaa Novemba 15 Uwanja wa Taifa.

Samatta anayecheza KRC Genk ya Belgium anatarajia kuiongoza Taifa Stars katika mchezo huo dhidi ya Equatorial Guinea na mchezo utakaofuata siku 4 baadaye dhidi ya Libya utakaochezwa ugenini.

Wachezaji wengine wanaocheza nje ya Tanzania ambao tayari wameingia kambini ni pamoja Farid Mussa anayecheza Tenerife ya Hispania, David Kisu(Gor Mahia,Kenya),Ramadhan Kessy (Nkana,Zambia) na Eliuter Mpepo (Buildcon,Zambia)

Taifa Stars inajifua kwenye Uwanja wa Taifa ikipiga Kambi katika Hoteli ya Blue Saphire,barabara ya Pugu jijini Dar es salaam

Mchezo dhidi ya Equatorial Guinea utachezwa saa 1 usiku Uwanja wa Taifa Ijumaa Novemba 15.

Kiingilio kwenye mchezo huo ni shilingi 3,000 mzunguko,5,000 VIP B na C

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
2h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
3h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
13h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
21h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’