Zahera kuibukia AS Vita?

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Nov 2019
Zahera kuibukia AS Vita?

Baada ya kusitishiwa mkataba wa kuinoa Yanga, kocha Mwinyi Zahera huenda akajiunga na klabu ya AS Vita kuwa kocha msaidizi

Nafasi ya kocha Msaidizi kwenye klabu hiyo inayonolewa na Florent Ibenge, iko wazi

Ibenge na Zahera walikuwa pamoja timu ya Taifa ya DR Congo kabla ya Ibenge aliyekuwa kocha mkuu kujiuzulu baada ya kumalizika kwa michuano ya Afcon 2019 iliyofanyika Misri

Baada ya kutimuliwa na Yanga, Zahera ni kocha huru lakini akiwa na majukumu ya timu ya Taifa pia

Mwenyewe amesema ana ofa nyingi mkononi, siku sio nyingi itafahamika wapi anakoelekea

Wiki iliyopita Kamati ya Utendaji ya Yanga ilivunja mkataba wake kufuatia kutoridhishwa na mwenendo wa timu

Uamuzi huo ulichukuliwa mara moja baada ya Yanga kurejea kutoka Misri ambako ilitolewa kwenye michuano ya kombe la Shirikisho kwa kufungwa jumla ya mabao 5-1 dhidi ya Pyramids Fc katika michezo yote miwili

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
12h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’