Nakala 1500 zanaswa msako wa jezi feki

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Nov 2019
Nakala 1500 zanaswa msako wa jezi feki

Uongozi wa klabu ya Yanga kwa kushirikiana na kampuni ya GSM ambao ndio wasambazaji rasmi wa jezi za klabu hiyo, wakiwa pamoja na maafisa wa Jeshi la Polisi, mapema leo walifanya msako wa kunasa jezi feki Kariakoo jijini Dar es salaam

Zoezi hilo lililosimamiwa na Msemaji wa klabu ya Yanga, Antonio Nugaz, limewezesha kukamatwa kwa zaidi ya nakala 1500 za jezi feki

Nugaz amewatahadharisha wafanyabiashara kuacha mara moja biashara hiyo haramu huku akibainisha kuwa zoezi hilo litaendelea kufanyika maeneo mbalimbali

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
6h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’