Makambo afunguka tetesi za kurejea Tanzania kwa mkopo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Nov 2019
Makambo afunguka tetesi za kurejea Tanzania kwa mkopo

Mshambuliaji wa zamani wa Yanga Heritier Makambo amesema anaendelea vyema na maisha katika klabu yake mpya ya Horoya Ac

Kumekuwa na tetesi kuwa Horoya Ac iko tayari kumtoa kwa mkopo mshambuliaji huyo baada ya kushindwa kujihakikishia namba kwenye kikosi cha kwanza chenye washambuliaji kama Aristide Bance, Ocansey Mandela, Boniface Haba na Naby Soumah

Tangu atue timu hiyo, Makambo hajawa na mwendelezo mzuri wa kufunga mabao akiwa amefunga bao moja kwenye michuano ya ligi ya mabingwa

Pengine ni kutokana na kutopata nafasi ya kutosha kwenye kikosi cha kwanza

Makambo amesisitiza kuwa hana tatizo na timu hiyo hivyo taarifa za kuwa atatolewa kwa mkopo hazina ukweli wowote

"Niko sawa na sina tatizo lolote na timu yangu ya Horoya. Ndio kwanza tumecheza mechi moja (sasa mbili) ya ligi na nimefunga bao moja," amesema

Yanga na Azam Fc zinahusishwa kumuwania mchezaji huyo kwa mkopo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’