Kabla ya kurejea kwao DRC, aliyekuwa kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera alikabidhiwa barua ya kuvunjwa kwa mkataba wake pamoja kulipwa sehemu ya madai yake
Licha ya kocha huyo kuzunguuka katika vyombo mbalimbali vya habari akitoa tuhuma mbalimbali, viongozi wa Yanga wamekuwa 'waungwana' wameachana nae kistaarabu
Wamemlipa pesa yake yote ya kuvunjwa mkataba na kumtakia kila la kheri katika majukumu yake
ADVERTISE HERE