Ufafanuzi kuhusu ziara ya Yanga Kusini

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Nov 2019
Ufafanuzi kuhusu ziara ya Yanga Kusini

Timu ya Yanga ipo Kusini mwa Tanzania Wilaya ya Nanyumbu na Masasi kwa malengo ya kutoa nafasi kwa wachezaji wengine ambao hawajapata nafasi kwenye kikosi cha kwanza

Wachezaji wote wa kikosi cha kwanza hawashiriki ziara hiyo, walipewa mapumziko ya siku tano

Yanga imewajumuisha wachezaji wake wa kikosi cha pili U20 katika ziara hiyo ambayo itafikia tamati kesho Wilayani Tandahimba

Aidha, uongozi wa Yanga umebainisha kuwa ziara hiyo sio ya kutafuta pesa bali ni ukamilishaji wa ile dhana ya Yanga kuwa ni timu ya wananchi.

Hivyo timu inasalimia wananchi, kufungua matawi pamoja na kuzungumza na wadau wake

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
41m ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
10h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
15h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
19h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
20h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
20h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’