Tarehe kama ya leo alizaliwa beki wa kulia wa Yanga Juma Abdul ambaye ni nahodha msaidizi wa mabingwa hao wa kihistoria
Abdul amerejesha makali yake, sasa akijihakikishia nafasi ya kucheza kwenye kikosi cha kwanza licha ya kuanza kwa kusuasua wakati wa kocha Mwinyi Zahera
Majeraha ya Paulo Godfrey yalichangia yeye kurejeshwa kikosini, kucheza mfululizo kumemuimarisha zaidi
Abdul ni mmoja wa wachezaji waandamizi wa Yanga, akidumu Jangwani kwa takribani misimu sita sasa
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu kwake
HAPPY BIRTHDAY JUMA ABDUL...
ADVERTISE HERE