Kikosi cha Yanga kilichokuwa kisafiri jana kwenda mkoani Kagera kwa usafiri wa Ndege kimeondoka leo Ijumaa baada ya ratiba ya Ndege iliyokuwa itumike kuisafirisha timu hiyo kubadilishwa
Jana Afisa wa Habari wa Yanga Dismas Ten alisema maandalizi ya safari hiyo yalikuwa yamekamilika.
Yanga itashuka dimbani kesho Jumamosi kuumana na Kagera Sugar.
Ten amesema Yanga imejiandaa kuondoka na pointi zote tatu kwenye mchezo huo wa mzunguuko wa sita ligi kuu ya Vodacom.

ADVERTISE HERE