Kaimu Katibu Mkuu ndugu Thabithy Kandorro alipata nafasi ya kuonana na kuwajulia hali wachezaji majeruhi ambao ni Juma Mahadhi, Maybin Kalengo, Paul Godfrey na Lamine Moro.
Kandorro amewahakikishia wachezaji hao kuwa, klabu inawathamini na inafuatilia kwa ukaribu juu ya maendeleo yao na kuwatakia heri ya kupona haraka kwa ajili ya kuendelea kuipigania timu


ADVERTISE HERE