Kamani ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), imemsimisha mlinzi wa kati wa Majimaji, Juma Salamba mechi tatu za Ligi Kuu Bara.
Salamba amefungiwa mechi tatu baada ya kupatikana na hatia kwenye tukio la kumpiga kiwiko kiungo mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Martin.
Tukio hilo lililopelekea Emanuel Martin kupoteza fahamu alilifanya kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom katia ya Majimaji dhidi ya Yanga

ADVERTISE HERE