GSM yaweka mezani Mil 10 mechi dhidi ya Ndanda

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Nov 2019
GSM yaweka mezani Mil 10 mechi dhidi ya Ndanda

Kampuni ya GSM, moja ya wadhamini wa klabu ya Yanga, imeweka mezani kitita cha Tsh Milioni 10 kama Yanga itaibuka na ushindi dhidi ya Ndanda Fc leo katika mchezo wa ligi kuu ambao utapigwa uwanja wa Nangwanda Sijaona, mkoani Mtwara

Umekuwa utaratibu kwa GSM kutoa kiasi hicho cha fedha kwa kila ushindi wa Yanga katika michezo ya ligi

GSM tayari imetoa Tsh Milioni 20 kwa ushindi wa Yanga michezo dhidi ya Coastal Union na Mbao Fc

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
5h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
8h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
13h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
14h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’