Kamati ya Utendaji ya klabu ya Yanga chini ya Mwenyekiti Dk Mshindo Msolla imeivunja Kamati ya Mashindano ya klabu ya Yanga
Uamuzi wa kuvunja Kamati hiyo ulifikiwa katika kikao cha Kamati ya Utendaji kilichoketi Novemba 02 2019 Makao Makuu ya Klabu, Jangwani jijini Dar es salaam
Kamati mpya ya Mashindano itatangazwa hapo baadae
Imetolewa na Afisa wa Habari na Mawasiliano klabu ya Yanga, Hassan Bumbuli

ADVERTISE HERE