Mkwasa apokewa kwa shangwe Mtwara

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Nov 2019
Mkwasa apokewa kwa shangwe Mtwara

Kaimu kocha Mkuu wa Yanga Charles Boniface Mkwasa amepokewa kwa shangwe na mashabiki wa timu hiyo mkoani Mtwara

Kikosi cha Yanga kimewasili mapema leo Mtwara tayari kwa mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Ndanda Fc

Mchezo huo utapigwa katika uwanja wa Nangwanda Sijaona, keshokutwa Ijumaa, Novemba 08 2019

Baada ya timu kuwasili Hotelini mashabiki walilipuka kwa furaha baada ya kumuona Mkwasa akishuka kutoka kwenye basi

"Mkwasa.. Mkwasa.. tuna imani na wewe baba," walisikika mashabiki wakiimba huku wengine wakimpongeza na kumpa mkono

Mkwasa amekabidhiwa majukumu ya kuinoa Yanga baada ya Kamati ya Utendaji kulivunja benchi la ufundi lililokuwa likiongozwa na kocha Mwinyi Zahera

Ataiongoza Yanga wakati uongozi wa timu hiyo ukiendelea na mchakato wa kumpata kocha mpya

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’