Pondamali anasema alifahamu mapema..

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Nov 2019
Pondamali anasema alifahamu mapema..

Aliyekuwa kocha wa makipa Yanga Juma Pondamali ana maneno mengi sana

Baada ya benchi lote la ufundi kufutwa kazi hapo jana, Pondamali amesema alijiondoa mapema baada ya kuona hawataweza kufikia matarajio ya wengi

Mkongwe huyo amebainisha kuwa baada ya Wanayanga kujitoa nchi nzima kuichangia timu yao, alifahamu msimu huu hakuna ambaye ataelewa kama timu itafungwa au kukosa ubingwa

"Mimi sijafukuzwa na mtu yeyote Yanga, mwenyewe niliangalia tu kabla ya ligi haijaanza, mazingira yakaniambia lazima nitoke," Pondamali ameiambia Azam TV

"Kwani kwa kuchangiwa na nchi nzima sijawahi kuona hiki kitu duniani"

"Mashabiki watataka timu ichukue ubingwa na lazima ipige mpira mkubwa ambao duniani haujaonekana..."

"Akili yangu ikanituma, nikaona hapa patakuwa moto nikajiengua haraka sana"

Nafasi ya Pondamali ilichukuliwa na Peter Manyika ambaye yeye sio miongoni mwa waliovunjiwa mikataba jana

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’