Kocha wa timu ya Mtibwa Sugar ya Morogoro, Zuberi Katwila amechaguliwa kuwa Kocha bora wa mwezi Oktoba wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) msimu wa 2019/20
Aidha mshambuliaji wa timu hiyo Jafari Kibaya amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi huo

ADVERTISE HERE