TAARIFA
Uongozi wa klabu ya Yanga utakuwa na Mkutano na Waandishi wa habari za Michezo kesho Jumanne, tarehe 05/11 2019 saa tano asubuhi
Mkutano huo utafanyika Makao Makuu ya klabu hiyo, Jangwani jijini Dar es salaam
ADVERTISE HERE