Baada ya kumaliza majukumu ya Kimataifa msimu huu, kikosi cha Yanga kinatarajiwa kurejea leo kutoka Misri ambako jana kilitolewa kombe la Shirikisho kwa kufungwa mabao 3-0 na Pyramids Fc
Yanga inatarajiwa kurejea mchana wa leo Jumatatu, Novemba 04 2019
Mabingwa hao wa kihistoria wanakabiliwa na mchezo wa ligi kuu mwishoni mwa wiki ambapo kama hakutakuwa na mabadiliko, ratiba inaonyesha siku ya Ijumaa wanapaswa kuwa mkoani Mtwara kuumana na Ndanda Fc
ADVERTISE HERE