Baada ya kumaliza matatizo yaliyopelekea ajitenge na klabu ya Yanga, Yusuph Manji amerejea kwa kishindo ambapo ameanza kwa kurejesha utaratibu kuisafiri klabu ya Yanga kwa ndege mikoani.
Yanga iliyokuwa iondoke kesho kwa basi, sasa itatumia usafiri wa ndege kuelekea Kagera huku basi la klabu hiyo likitangulia bila wachezaji.
Yanga itashuka dimbani Oktoba 14 kucheza na Kagera Sugar katika mchezo wa mzunguuko wa sita, ligi kuu ya Vodacom

ADVERTISE HERE