TAARIFA
Uongozi wa klabu ya Yanga kesho Jumamosi tarehe 02/11/019 utakuwa na Mkutano na Waandishi wa Habari za Michezo
Mkutano huo utafanyika Makao Makuu ya klabu, Jangwani, Dar es salaam
Mkutano utaanza saa sita kamili mchana
ADVERTISE HERE