Msafara wa kikosi cha Yanga umewasili salama nchini Misri tayari kwa mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya Pyramids Fc ambao utapigwa keshokutwa Jumapili katika uwanja wa June 30
Msafara huo ulipokelewa na viongozi waandamizi wa Yanga ambao walitangulia nchini humo kuweka mambo sawa
Leo jioni na kesho Yanga inatarajiwa kufanya maandalizi yake ya mwisho kuelekea mchezo huo ambao utapigwa saa tatu usiku kwa saa za Tanzania



ADVERTISE HERE