Wachezaji wa Yanga Metacha Mnata na Abdulaziz Makame 'Bui' wamesajiliwa na kampuni ya AfriSoccer ambayo inahusika na uwakala wa kuwatafutia wachezaji timu nje ya nchi
Kampuni hiyo imewasajili Metacha na Bui baada ya kuvutiwa na uwezo wao
Nyota hao ambao pia wako timu ya Taifa, watakuwa na nafasi ya kujaribu bahati yao nje ya nchi kama zitatokea timu kuwahitaji
Kwa sasa wana mikataba na Yanga, ikitokea timu kuwahitaji, italazimika kumalizana na Yanga kwanza
ADVERTISE HERE