Yanga imevuna Milioni 116 kutoka mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya Pyramids Fc ambao ulipigwa mwishoni mwa wiki kwenye uwanja wa CCM Kirumba
Mapato hayo yametokana na viingilio vya mashabiki ambao walijitokeza kwa kiasi kikubwa
ADVERTISE HERE