Tukumbushane matumizi sahihi ya ukurasa wa Mijadala

Admin By Admin
β€’
28 Oct 2019
Tukumbushane matumizi sahihi ya ukurasa wa Mijadala

Ukiachana na wachache wanaovamia kwa lengo la kuvuruga, kwa kiasi kikubwa Wanajangwani tumekuwa wastaarabu na ndio utaratibu

Tuliweka humu ukurasa wa Mijadala ili Wanayanga wenye mawazo, maoni, madukuduku na hata mapendekezo wayatoe

Wasichofahamu wengi, maoni mazuri mengi huwa yanafanyiwa kazi kwa kuwa wahusika wako humu

Tulitaka tujitofautishe na kule Facebook au Instagram ambako mtu unaweza kuandika chochote, ukamtukana au kumkashifu yeyote

Mwanajangwani uko huru kuandika maoni yako bila ya kumtukana au kumkashifu mtu

Unaweza kuwa umeandika kitu kizuri lakini ndani ukijaza matusi, kashfa, mijadala ya aina hiyo itakuwa ikifutwa na baadae kama utaendelea kuandika utazuiwa kupost chochote

Wanajangwani tumekuwa wastaarabu, lengo ketu ni moja hatuna sababu ya kuwatukana viongozi wa timu pale inapotokea timu haifanyi vizuri

Toa ushauri, toa maoni, toa mapendekezo, kosoa vizuri bila kutukana au kukejeli wengine, huo ndio utaratibu mzuri wa kuijenga Yanga

 

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’