Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la soka nchini (TFF) inakutana leo ikitarajiwa kumuhoji mlinzi wa kati wa Majimaji Juma Salamba aliyesimamishwa baada ya kutuhumiwa kumpiga kiwiko winga wa Yanga, Emanuel Martin.
Salamba anatuhumiwa kumpiga kiwiko makusudi Martin kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom kati ya Majimaji dhidi ya Yanga na kupelekea winga huyo kupoteza fahamu.
Martini alipewa huduma ya kwanza kabla ya kukimbizwa katika Hospitali ya mkoa wa Ruvuma kwa matibabu zaidi. Mchezo huo ulimalizika kwa sare ya bao 1-1.

ADVERTISE HERE