Pyramids Fc kuwasili Mwanza leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Oct 2019
Pyramids Fc kuwasili Mwanza leo

Wapinzani wa Yanga wa mchezo wa mtoano kombe la Shirikisho Pyramids Fc wanatarajiwa kuwasili jijini Mwanza leo kuelekea mchezo utakaopigwa Jumapili

Akizungumzia ujio wa timu hiyo, Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Mwakalebela amesema timu hiyo ilitanguliza maafisa wake watatu mbao tayari wako jijini Mwanza

Amesema Pyramids itatua moja kwa moja Mwanza ikitokea Misri kwa usafiri wa ndege binafsi

Mwakalebela amesema timu hiyo itafikia Hotel ya Malaika

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
16h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
20h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’