Mshambuliaji wa Yanga Maybin Kalengo aliyepata majeraha ya kuvunjika sehemu ya mfupa wa mguu wake wa kushoto, amerejea jijini Dar es salaam kwa ajili ya matibabu
Kalengo alipata majeraha hayo kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Pamba Fc ambao ulipigwa mapema leo jijini Mwanza
Kinda huyo atakuwa nje kwa miezi mitatu

Ugua pole Maybin..
ADVERTISE HERE