Abdul karejea Boxer ajipange

Selemani Sudi By Selemani Sudi
β€’
23 Oct 2019
Abdul karejea Boxer ajipange

Pamoja na ubora wa beki kinda Paulo Godfrey 'Boxer' ambaye amerejea kikosini hivi karibuni baada ya kupona majeraha, pengine atahitaji kufanya kazi ya ziada kuichukua namba yake kutoka kwa mkongwe Juma Abdul ambaye ni kama amezaliwa upya

Abdul ana kitu tofauti zaidi ya Boxer hasa pale timu inaposhambulia

Krosi zake mara nyingi zinawafikia walengwa na kusababisha madhara kwa timu pinzani

Katika michezo mitatu ya ligi aliyocheza, krosi zake zimesababisha mabao mawili

Kuimarika kwa Abdul na kurejea kwa Boxer ni jambo jema kwa kocha Zahera kwani sasa hatakuwa na sababu ya kuwabadilishia wachezaji wake majukumu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’