Huyu mwamba wakati utafika ataonyesha makali yake

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Oct 2019
Huyu mwamba wakati utafika ataonyesha makali yake

Mshambuliaji Juma Balinya ni miongoni mwa wachezaji waliosajiliwa Yanga ambao mashabiki walikuwa na imani kubwa kwake

Usajili wake ulikamilishwa siku ya KUBWA KULIKO Yanga ikifanikiwa kumsainisha mkataba licha ya kuletwa nchini na mabosi wa klabu ya Simba

Msimu uliopita aliibuka mfungaji bora wa ligi kuu ya Uganda akiichezea Polisi Fc na kufunga mabao 21

Bado hajaonyesha kile kilichotarajiwa na mashabiki wa Yanga, lakini muda utazungumza

Amekuwa akifanya juhudi mazoezini huku kocha Mwinyi Zahera akimsaidia kumjenga kisaikolojia ili aweze kurejesha makali yake

Kuna wakati Zahera alimpa program ya kupunguza uzito baada kubaini mshambuliaji huyo alikuwa ameongezeka kilo nne

Kwa sasa Balinya anakabiliwa na changamoto ya kupata nafasi kwenye kikosi cha kwanza

Lakini Zahera amesema wakati wake utafika na atawafurahisha mashabiki

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
2h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
10h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
13h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’