Bui, Metacha, kuongeza nguvu Mwanza

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Oct 2019
Bui, Metacha, kuongeza nguvu Mwanza

Mlinda lango Metacha Mnata na kiungo Abdulaziz Makame 'Bui' wamerejea nchini leo na kikosi cha Stars ambacho jana kilifanikiwa kukata tuketi ya fainali za michuano ya CHAN baada ya kuichapa Sudan mabao 2-1

Metacha na Bui wanatarajiwa kutua mkoani Mwanza kesho kujiunga na wenzao ambao wamewasili jijini humo leo tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mbao Fc na ule wa kombe la Shirikisho dhidi ya Pyramids Fc ambao utapigwa Jumapili ya Oktoba 27 uwanja wa CCM Kirumba

Yanga inawahitaji wachezaji hao hasa Makame kwenye mchezo wa Jumanne dhidi ya Mbao Fc utakaopigwa CCM Kirumba

Kiungo huyo kutoka Zanzibar yuko kwenye kiwango bora kabisa

Mchezo uliopita, alifunga bao pekee la Yanga kwenye ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Coastal Union

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’