Majeruhi wamebaki wawili - Mwakalebela

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Oct 2019
Majeruhi wamebaki wawili - Mwakalebela

Uongozi wa klabu ya Yanga umeeleza kufanya jitihada kukabiliana na changamoto ya majeruhi iliyoikabili timu hiyo siku za karibuni

Akizungumza na waandishi wa habari mapema leo, Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Mwakalebela amesema walilazimika kuongeza madaktari wa kuwahudumia wachezaji hao ili kuhakikisha wanarejea kikosini haraka

"Mpaka sasa wachezaji ambao bado hali zao hazijaimarika ni wawili tu Issa Bigirimana na Mohammed Issa 'Banka' ambao wanaendelea na mazoezi mepesi," amesema

"Uongozi umefanya jitihada kwa kuongeza madaktari kwenye benchi lake ili kumaliza changamoto hiyo"

"Timu inaelekea mkoani Mwanza kesho ikiwa na wachezaji 24, wachezaji wawili walio timu ya Taifa wataungana nasi jijini Mwanza baada ya mchezo wa Stars dhidi ya Sudan ambao unapigwa leo"

"Hivyo tutakuwa na wachezaji 26 Mwanza"

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
7h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
10h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’