Pyramids yasuasua Misri

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Oct 2019
Pyramids yasuasua Misri

Jana Pyramids Fc imeshindwa kupata ushindi kwenye mchezo wa pili mfululizo baada ya kulazimishwa suluhu ya bila kufungana na Smouha ukiwa ni mchezo wa ligi kuu ya Misri uliopigwa kwenye uwanja wao wa nyumbani

Mchezo uliopita ililazimishwa sare ya mabao 2-2 na Al Gaish

Timu hiyo ilishinda michezo yake miwili ya kwanza dhidi ya ENPPI na Tanta

Inashika nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi kuu ya Misri ikiwa na alama nane huku pia ikiwa imecheza mechi zaidi ya wapinzani wake

Timu hiyo itakuja nchini wiki ijayo kuikabili Yanga kwenye mchezo wa kwanza wa mtoano kombe la Shirikisho ambao utapigwa uwanja wa CCM Kirumba Oktoba 27

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
2h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
12h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
19h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’