Sudan yarudisha mchezo dhidi ya Stars kwao

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Oct 2019
Sudan yarudisha mchezo dhidi ya Stars kwao

Mchezo wa marudiano dhidi ya Sudan kusaka nafasi ya kutinga fainali za michuano ya CHAN utapigwa nchini Sudan

Mchezo huo ambao awali ilielezwa ungechezwa Uganda kutokana na hofu ya usalama Sudan, sasa utafanyika hukohuko Sudan

Kikosi cha Stars ambacho kilicheza mechi ya kirafiki dhidi ya Rwanda jana, tayari kimewasili nchini Sudan kuelekea mchezo huo ambao utapigwa Oktoba 18

Tanzania inahitaji kushinda kuanzia mabao mawili ili kuweza kukata tiketi kwani iko nyuma kwa bao 1-0 ikifungwa kwenye mchezo wa kwanza uliopigwa jijini Dar es salaam

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’