Mapema leo, winga Patrick Sibomana 'PS' alikumbwa na wakati mgumu kwenye mazoezi ya Yanga yanayofanyika uwanja wa chuo cha Polisi Kurasini jijini Dar es salaam baada ya wachezaji wenzie kuadhimisha kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa kwa utaratibu wa aina yake
Imekuwa ni kawaida kwa wachezaji kutumia utaratibu huo pale mmoja wao anapoadhimisha kumbukumbu hiyo
Sibomana mmoja wa wachezaji tegemeo wa kikosi cha Yanga, alipata makaribisho kwa kuogeshwa tope!
Tunamtakia kila la kheri katika siku yake hii muhimu
Happy Birthday PS...!
ADVERTISE HERE