Mlinda lango wa Yanga Metacha Mnata na kiungo Abdulaziz Makame 'Bui' leo wamepata nafasi ya kuanza kwenye kikosi cha kwanza kwenye mchezo wa Kimataifa wa kirafiki dhidi ya Rwanda ambao uko kwenye kalenda ya FIFA
Hiki hapa kikosi kinachoanza mchezo huo utakaopigwa kuanzia saa moja jioni

ADVERTISE HERE