Huyu Molinga mipira ya adhabu hakukosi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Oct 2019
Huyu Molinga mipira ya adhabu hakukosi

Mshambuliaji wa Yanga David Molinga amedhihirisha sio mtu wa mchezo linapokuja suala la mipira ya adhabu

Akiwa tayari amefunga bao moja kupitia faulo kwenye ligi, leo Molinga alifunga bao jingine kwenye mchezo wa kirafiki kati ya Yanga dhidi ya Friends Rangers ambao ulipigwa asubuhi uwanja wa chuo cha Polisi, Kurasini

Katika mchezo huo ambao Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 4-2, Molinga alifunga mabao mawili moja likiwa bao maridhawa lililotokana na mpira wa adhabu

Mabao mengine ya Yanga yalifungwa na Maybin Kalengo na Papy Tshishimbi

Mchezo huo ulikuwa sehemu ya mazoezi ya kikosi cha Yanga kinachojiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mbao Fc pamoja na kombe la Shirikisho dhidi ya Pyramids Fc utakaopigwa Oktoba 27 CCM Kirumba Mwanza

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’