Mechi dhidi ya Friends Rangers kupigwa kesho

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Oct 2019
Mechi dhidi ya Friends Rangers kupigwa kesho

Kesho Jumatatu Yanga itakuwa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Friends Rangers inayoshiriki ligi daraja la kwanza

Mchezo huo ni sehemu ya maandalizi ya kikosi cha Yanga ambacho kitasafiri kuelekea mkoani Mwanza kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mbao Fc

Mchezo dhidi ya Mbao Fc utapigwa Oktoba 22 na baadae Yanga kuendelea na maandalizi ya mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya Pyramids Fc ambao utapigwa Jumapili ya Oktoba 27 2019

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’