Leo saa moja jioni Yanga itashuka kwenye dimba la Azam Complex, Chamazi kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya KMC inayoshiriki ligi daraja la kwanza.
Mchezo huo maalumu kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa ligi dhidi ya Kagera Sugar, pia mapato ya mchezo huo yatatumika katika zoezi la ukarabati wa uwanja wa Kaunda.
Katika mchezo huo, inatarajiwa Kocha Mzambia, George Lwandamina atawatumia wachezaji wake wengi wa akiba katika kufuatia nyota wake kadhaa wa kikosi cha kwanza kuwa kwenye majukumua ya Kimataifa.
Mchezo huo unatarajiwa kuonyeshwa na kituo cha televisheni cha Azam.

ADVERTISE HERE