Uongozi wa Klabu ya Yanga umewapongeza wachezaji wake nane (8) wa Yanga Princess, walioitwa kujiunga na timu ya Taifa ya Wanawake, Twiga Star
Wachezaji hao ni;
1. Thadea Handani
2. Tausi Abdalah
3. Happiness Hezron
4. Amina Ally
5. Anzastazia Nyandago
6. Irene Kisisa
7. Lucia Mrema
8. Neema Charles
HONGERA KWAO...!
ADVERTISE HERE