Yanga Princess kamili kuwania taji ligi ya Wanawake

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Oct 2019
Yanga Princess kamili kuwania taji ligi ya Wanawake

Ligi Kuu ya Wanawake 'Serengeti Premium Lite Women' inatarajiwa kuanza Oktoba 26

Baada ya kusuasua msimu uliopita, kikosi cha Yanga Princess kimeundwa upya malengo yakiwa kutwaa ubingwa msimu huu

Yanga Princess itaanza kampeni yake kwa kumenyana na Tanzanite SC ya Arusha kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Oktoba 26, 2019.

Mechi nyingine zinazofuata

30/10/2019 11 Baobab Queens V Yanga Princess (Jamhuri )
07/12/2019 18 Yanga Princess v Mlandizi Queens (Karume)
14/12/2019 24 Yanga Princess v Simba Queens (Karume)
20/12/2019 27 Panama Girls v Yanga Princess (Samora)

KIKOSI KAMILI CHA YANGA PRINCESS KWA MSIMU WA 2019-2020.

1. Belina Nyamwihula Julius
2.Fatuma Bashiri Makusanya
3.Happyness Hezron Mwaipaja
4. Shelda Boniface Mafuru
5.Amisa Athuman Hussein
6.Fatuma Ibrahim Mwisendi
7.AISHA JUMA MBABAGE BULEBULE
8.AMINA MWALAMI RAMADHANI
9.BAHALI GEORGE ANDREW MAPUNDA
10. FAUSTA ALFRED THOMAS NGOWI .
11. GRACE YUSUPH MBELAI
12.Tausi Abdallah Swalehe
13.MWANAHARUSI ABBASI AUSI HOSSEINI
14.ZAINAB MRISHO HAMISI MLENDA
15. NEEMA CHARLES CHIBARA .
16.MWANTUMU RAMADHANI SENG"ENGE
17.ANASTAZIA NYANDAGO MAGOMA
18. LUCIA SABASI MREMA
19.NASMA KHALID MANDUTA
20. HALIMA KAWAIDA MWAIGOMOLE .
21.IRENE ELIASI KISISA .
22.ASHA ABDU MALAMWA
23. AMINA ALLI BILALI
24. MASELINA KASIMU NYIGO
25. MWAPEWA MTUMWA KHAMIS. .

KOCHA MKUU
Edna Lema

AKISAIDIANA NA KOCHA WA MAKIPA
Kitwana Tambwe

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
12h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
16h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
17h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
17h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’