Viongozi wa Matawi kukutana na uongozi wa Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Oct 2019
Viongozi wa Matawi kukutana na uongozi wa Yanga

Viongozi wa Matawi ya klabu ya Yanga nchi nzima wameomba kukutana na uongozi wa klabu hiyo ili kuweka mikakati ya mafanikio msimu huu

Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema Mkutano huo utafanyika wiki ijayo jijini Dar es salaam

Katika hatua nyingine, Bumbuli amewataka wanachana wa klabu hiyo kufuata utaratibu kwa mujibu wa Katiba ya Yanga ili kupata taarifa za klabu kuliko kwenda kuhoji kwenye vyombo vya habari

"Watu wanakwenda kwenye redio kuhoji mikataba ya Yanga wakati kwa mujibu wa Katiba wanaweza kufika Makao Makuu ya klabu na wakaonyeshwa mikataba hiyo"

"Tunawakumbusha Wanachama wetu, ni muhimu wakafuata utaratibu, kwani kuendelea kufanya hivyo kunaashiria hawana nia njema na Yanga," Bumbuli aliwaambia waandishi wa habari jana

 

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
13h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
17h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
21h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’